Unachanganya madesa, sema Simba na Yanga ni timu za wanachama na Azam ni timu inamilikiwa na tajiri. Azam kama timu haina chochote na wala haijawahi kuwaingizia faida wamiliki wake mishahara wanayolipwa haitokani na mpira lakini inatokana na mauzo mengine ya bidhaa za Azam. Kwa hiyo kusema Azam ni timu kubwa si kweli haina ukubwa wowote, ukubwa wa timu hupimwa kwa kuangalia mataji iliyochukua pamoja na base ya mashabiki, Azam zaidi ya kombe la mapinduzi na lile la Uhai imechukua kombe gani tena? Mashabiki wa Azam hata humu JF sijui kama wanafika hata watano.