Little Angel
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 1,212
- 373
ila huyu mukaka ni muzuri sana jamani mwenye chake mpe. wacha nikapige kura mie
Mvuto +++A. Hisiaaaaaaaaaaaa
ila huyu mukaka ni muzuri sana jamani mwenye chake mpe. wacha nikapige kura mie
Mvuto +++A. Hisiaaaaaaaaaaaa
Ngoja nijaribu kupiga kura japo nashindwaga cjui nakosea wapi
sema hajuagi kutumia uhandsome wake kuwashawishi wakidada wamvotie
Wadau mmevote???????
mie nimeshavote leo, sijui Chocs Ruttashobolwa charminglady Honey Faith genekai Ntakasi The Dude furahi na wengine
jamani tuvote sana
Saa nne hivi asubuhi nimepiga tena tano na nikaambiwa "vote again Tomorrow". Nasubiri kesho tena dogo ale zangu tano nyingine!!!!mie nimeshavote leo, sijui Chocs Ruttashobolwa charminglady Honey Faith genekai Ntakasi The Dude furahi na wengine
jamani tuvote sana
Saa nne hivi asubuhi nimepiga tena tano na nikaambiwa "vote again Tomorrow". Nasubiri kesho tena dogo ale zangu tano nyingine!!!!
Ruttashobolwa hawajafunga bado?
Kojjo na phiona watatoka....