halafu wimbo atakaoimba ni mgumu nilimuona aamechagua oliver twist
huyu ni mjanja sana kojo bila kuingiza kiganda angekuwa hoi.
Amos and Josh on stage
ruta hawa jamaa tena
More than hot wallahi
Hisia wetu leo sijui itakuwaje
mie mwenyewe namuwazia naona hawa wote waliotoka wamesifiwa sa sijui yeye