WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Wakuu Leo Taifa Stars wanakipiga na Uganda Cranes ya Uganda kwenye uwanja wa Taifa Tuendelee kujuzana Live Updates kwa wale ambao tuko ndani ya uwanja wa Taifa.
game inaanza saa ngap?
Taifa washafungana?
John boko hana tofauti ya Mwaikimba...
hana jipya
hatoi changamoto nzuri kwa upinzani ukizingatia anamwili unaotishIAKwa nini Mkuu?!
hatoi changamoto nzuri kwa upinzani ukizingatia anamwili unaotishIA
tukifungwa tutasingizia wachezaji wapo kwenye mwezi mtukufu