LIVE UPDATES:Taifa Stars Tanzania VS Uganda Cranes Uganda

LIVE UPDATES:Taifa Stars Tanzania VS Uganda Cranes Uganda

Ball Position
tanzania 28
uganda 72
Duh! yaani bora kufungwa na timu yeyote duniani ila sio waganda, hao jamaa wana jeuri sana.. tuzidi kuitakia kheri Taifa stars bado mda upo wa kutosha, ushindi dhidi ya Uganda ni lazima..!!
 
Mpira umepasuka baada ya kiemba kuweka nzito na beki wa uganda hapa
 
Sasa jamani hem kuweni sirias, hii mechi bado inaendelea? Mnaanzisha bitu kuvimalizia hamuwezi
 
Back
Top Bottom