live updates.SIMBA VS RUVU SHOOTING

live updates.SIMBA VS RUVU SHOOTING

ACCOUNT FULL

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
1,995
Reaction score
389
1:berko 2.shamte 3,issa rashidi 4.owino 5.musoti 6.mkude 7.chanongo 8.ndemla 9.tambwe 10.kiemba 11.messi haya, tuendelee mliopo uwanjan na tunaosikiliza. HALF TIME SIMBA 2, RUVU 0
FULL TIME, SIMBA 3, RUVU 2.
 
Nyenyere kasema kweli, 'Simba imekosa mvuto'. Badala ya kucheza mpira wamegeuka kuwa wang'oa viti utafikiri ni madaktari wa meno!
 
Last edited by a moderator:

Hao jamaa zangu walishakata tamaa, Rage anavuruga watu sana ukizingatia na timu zetu hizi za Kariakoo ambazo hazina vyanzo vya maana na badala yake vinategemea matajiri waingia mifukoni ndo wachezaji nao wanajikuta wamevurugika kabisa, nawakumbuka majemadari wangu Mwina Kaduguda na Mzee Dalali, pamoja na yule mhindi Kassim Dewji.
 
Last edited by a moderator:
mvua inawapa sapoti...
Mkuu wangu huwa nakuaminia sana lakini kwa post yako hii mbona unataka kuniangusha, kwani Simba wanafanya mazoezi kwenye bomba la mvua. Au unamanisha zile imani zetu za wazee wetu?
 
Mkuu wangu huwa nakuaminia sana lakini kwa post yako hii mbona unataka kuniangusha, kwani Simba wanafanya mazoezi kwenye bomba la mvua. Au unamanisha zile imani zetu za wazee wetu?
hiyo ni imani zaidi mkuu...
 
Back
Top Bottom