we jamaa utakuwa ndo wale division 5 kabisa yaan hata hoja zako naziona ni zile za wanayanga wanaokaa pale kumpraise manji. tambwe amekuja yanga baada kuachwa simba si kwamba alitolewa yanga. umesahau kanjubai alinyang'anywa OKWI na aveva akasema anaenda kushtak fifa mpaka leo hajarudi tena
huyu okwi aliyekuja kuwagonga kimoja mechi ya mwisho?kuchukua kombe la vpl wala si issue hata kidogo unakumbuka mara ya mwisho mmepigwa 5 kwa yai simba ikichukua ubingwa bila kupoteza hata mechi moja?
waulize wanaojua mpira wa ndani ya yanga wewe mshabiki tu hujui lolote .onesha mafanikio aliyoleta manji na si kuzungumzia kombe la vpl la mill 77
wakati wenzako wanagonga mechi moja tu wanaondoka na kombe la mil 98 mechi moja tu ya NANI mtani jembe inatosha kukuzima wewe na kufukuza kocha.
VPL si issue kubwa....
la msing ni ushindani kombe la kimataifa yanga imefanya nini huko? huyu kanjubhai kawakalia kiunoni hasa hata hamuwza vizuri kwa kweli
Jukwaa la michezo limevamiwa na wapori pori! Hawa wanaochangia na kujiita mashabiki wa Yanga sio wale tuliozoea kukutana nao humu. Ndio maana wanaona mafanikio ya timu ni kupanda ndege bila kujali ni hatua gani imefikiwa
Maneno yako unayakumbuka?Azam atajipigia mtu wake kiulani tu!!
Kijana umeanza kufuatilia soka la Bongo lini mbona unaongea kiushabiki tu bila point yoyote?Unaonekana umekuja JF kutafuta umaarufu.....
Hivi unasema ulivyomfunga Yanga Fc goli 5 msimu huo simba ndio ilichukua ubingwa...........?
Hahahaha!
Unadhihirishisha Umbumbumbu wako.
Hao wote wateja tu, hatuwezi kushabikia wateja wetu.hivi ninyi wafuasi wa mikia fc, Yanga atakapokuwa anacheza na Azam mtaishabikia timu gani ?
Ile mechi kweli Mpesa ilitumika maana yule jamaa alicheza rafu ya kijinga ili apewe kadi tu yeboyebo ipate nafuu. Maana bila hiyo pale zisingepungua 5.Hata ya Etoile mlinunua ili mfungwe mabao machache. Jamaa wa Etoile aliangushwa kwenye box refa wa Kampala akauchuna
Yanga haina uwezo wa kuifunga Azam, visitafutwe visingizio. Yanga ameshinda sana kwa Azam na Simba ni sare vinginevyo kichapo tu, hizo huwa hazinunuliki kama Polisi FC na Coastal Union.mi yanga nitaishangilia azam mechi yetu hata cannavaro anajua
Watu saba wameshinda 2-1 duuh...Watu 7 wamesawazisha.....!

Kwani Bagamoyo huwa wanafuata nini? unauliza makofi Oysterbay Polisi.Watanzania acheni uchawi mtu akishinda mechi eti kanunua
Hii inadhihirisha jinsi watu walivyo na unazi kuliko kuifahamu soka ya uwanjani. Ungekuwa sahihi kusema hivyo kama Simba ndiye angekuwa amefungwa bao 2.Duh! Zote hizo! Simba bana, kila kitu kwao ni fitna tu!
Tayari Bingwa mwingine feki amelambishwa mchanga. Chezea kidume toka Msimbazi wewe.Tayari.huko kafa mtu