OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,242
- 103,937
hapawezi leta hela ya mashabikiPale Mudi Arena pana tatizo gani?
Amefanyaje mkuu, tumegee kidogo tulio mbali na kiooHaaaaaa haaaaa Morison ni nyoko
mtu yeyote akiridhika ananenepa sio kule hata mshahara alikuwa anapata kwa taabuKadri muda unavyo kwenda Morrison anazidi kunenepa. Muda simrefu atakua wa duara.
back up nzuri sana kwa KapombeHuyu duchu huyu
ningepata ka video ujionee. ulipigwa mpira kuelekea golini akawahadaa beki na kipa akaupisha ule mpira bila kuugusa uingie wenyewe golini. Kipa na beki wakaanza kuufukuza wakaokolea karibu na mstari wa goliAmefanyaje mkuu, tumegee kidogo tulio mbali na kioo