Live Updates: Simba Sc, Next Level ikitumbuiza, Azam Complex

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
48,778
102,149
Ni Simba SC dhidi ya African Lyon pale Azam Complex. Mechi itaanza hivi punde ni mechi ya kirafiki kuwapa burudani watanzania wote.

Mako dinda mako stamina. Bendera chuma mlingoti chuma.....Show Show

119985425_1717693755056299_2628163257758243244_o.jpg
 
Amefanyaje mkuu, tumegee kidogo tulio mbali na kioo
ningepata ka video ujionee. ulipigwa mpira kuelekea golini akawahadaa beki na kipa akaupisha ule mpira bila kuugusa uingie wenyewe golini. Kipa na beki wakaanza kuufukuza wakaokolea karibu na mstari wa goli
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom