Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,644
Leo Mwadui atakoma, atapigwa nyingi sana.Simba Bado Tupo Ngangali
Hii ni nafasi yetu sahihi ya kuwapoza maumiv mashabiki.Last matches: Simba 0 Vs Ruvu shooting 1.Mwadui 1 Vs JkT 6.Simba anaenda kucheza na timu dhaifu kutakwimu inadhaniwa kutakuwa na mvua ya magoli kwa Mwadui,lakini huenda kukawa na matokeo ya kushangaza Kama sare.tusubiri na kuona
Labda mliibe.Yanga damu damu kombe letu mwaka huu
Leo pira biriani, mpapaso ni wako.Leo mpapaso unaendelea View attachment 1616447
Sawa, ongeza maombiMimi naomba wapigwe tena kabisa.
Na sauti aongeze.Sawa, ongeza maombi
Lione na bichwa lako.Simba leo mkitoa sare itakuwa vizuri sana.
Namimi mkuu naombea tu angalau leo mtoke sare kuendelea kupapaswa siyo vizuri.Lione na bichwa lako.
Ila nyie wana Yanga.Namimi mkuu naombea tu angalau leo mtoke sare kuendelea kupapaswa siyo vizuri.
Hapo kene Chama Tawala, inategemea cha nchi gani.Simba tupo fiti,.Kama chama tawala,.dakika za mwisho ndo mtaelewa bingwa Nan..
Musikimbiane baadaeSimba Bado Tupo Ngangali
Msalimie 'Mahondaw'