Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,644
- Thread starter
- #41
Tumenyimwa goli LA kwanza.
kuna goli nyingi tu hapa Luis atulieTumenyimwa goli LA kwanza.
Ha ha haKipa naye fala sasa alikuwa anaufata mshuti wa Ndemla ili iweje
Tarehe 7 kichapo kiko pale pale.Asante Simba Sc kwa kunisafisha moyo.
FT Simba 5- 0 Mwadui
Ha ha haHT Simba 3-0
Nimehesabu na offside 2 za refa