Live Updates: SimbA SC - Mwadui FC, Uwanja wa Uhuru

Da Gladiator

JF-Expert Member
Aug 3, 2020
1,170
2,000
Patashika ya ligi kuu Tanzania Bara VPL, kuendelea leo Jumamosi 31, Oktoba 2020. Leo zitapigwa mechi nne(4) katika viwanja mbalimbali.Hii ni baada ya hapo jana kinara wa VPL 2020/21 wanalambalamba Azam FC kuchoshana nguvu na JKT Tanzania '1-1' Azam Complex, lakini katika uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam kuna bonge la mechi kati ya Simba SC na Mwadui FC.

Hii ni baada ya migogoro baina ya viongozi wa mabingwa hao mara tatu mfululizo, iliopelekea kupoteza mechi mbili(2) mfululizo na hatma ilikuwa ni kuwaondosha aliyekuwa Meneja wao Patrick Rweyemamu na aliyekuwa kocha wa makipa Mwaharami Mohamedi.

Je, Simba SC ama Mwadui FC kuibuka mbabe? Kaa nami/nasi usikose ukahadithiwa. Kumbuka mtanange ni kuanzia saa 10:00 jioni.

Sidhani kama wenzetu watatoka salama Mara, kwa zile jezi zao.

"Kulitaka mwana, kulipewa mwana".
#SimbaNguvuMoja.
#AnotherLevel.


FT
Simba SC
5 - 0
Mwadui FC

Magoli
-J R BoccO.
-J R BoccO.
-I AjibU.
-H DilungA.
-S H NdemlA.
#DaGladiator
View attachment 1616497
 

muxar

JF-Expert Member
Aug 23, 2015
1,557
2,000
Last matches: Simba 0 Vs Ruvu shooting 1. Mwadui 1 Vs JkT 6.Simba anaenda kucheza na timu dhaifu kutakwimu inadhaniwa kutakuwa na mvua ya magoli kwa Mwadui, lakini huenda kukawa na matokeo ya kushangaza Kama sare. Tusubiri na kuona.Mimi naomba wapigwe tena kabisa.
 

Da Gladiator

JF-Expert Member
Aug 3, 2020
1,170
2,000
Last matches: Simba 0 Vs Ruvu shooting 1.Mwadui 1 Vs JkT 6.Simba anaenda kucheza na timu dhaifu kutakwimu inadhaniwa kutakuwa na mvua ya magoli kwa Mwadui,lakini huenda kukawa na matokeo ya kushangaza Kama sare.tusubiri na kuona
Hii ni nafasi yetu sahihi ya kuwapoza maumiv mashabiki.

Asante kwa mchango wako mkuu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom