Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,644
Patashika ya ligi kuu Tanzania Bara VPL, kuendelea leo Jumamosi 31, Oktoba 2020. Leo zitapigwa mechi nne(4) katika viwanja mbalimbali.Hii ni baada ya hapo jana kinara wa VPL 2020/21 wanalambalamba Azam FC kuchoshana nguvu na JKT Tanzania '1-1' Azam Complex, lakini katika uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam kuna bonge la mechi kati ya Simba SC na Mwadui FC.
Hii ni baada ya migogoro baina ya viongozi wa mabingwa hao mara tatu mfululizo, iliopelekea kupoteza mechi mbili(2) mfululizo na hatma ilikuwa ni kuwaondosha aliyekuwa Meneja wao Patrick Rweyemamu na aliyekuwa kocha wa makipa Mwaharami Mohamedi.
Je, Simba SC ama Mwadui FC kuibuka mbabe? Kaa nami/nasi usikose ukahadithiwa. Kumbuka mtanange ni kuanzia saa 10:00 jioni.
Sidhani kama wenzetu watatoka salama Mara, kwa zile jezi zao.
"Kulitaka mwana, kulipewa mwana".
#SimbaNguvuMoja.
#AnotherLevel.
FT
Simba SC
5 - 0
Mwadui FC
Magoli
-J R BoccO.
-J R BoccO.
-I AjibU.
-H DilungA.
-S H NdemlA.
#DaGladiator
View attachment 1616497