Live Updates: Mwendelezo wa kusikilizwa Rufaa ya Lema - Oktoba 02, 2012

AG rep. decree inatolewa kwenye civil rules.
Hata tukisema hati ya kukaza hukumu ina matatizo nani wa kulaumiwa? Anayepaswa kulaumiwa ni mamlaka iliyotoa hati, siyo mwomba rufani, wala siyo wakili wake!

Alute Mughwa ameniudhi sana, he took much time on stupid arguments
mkuu hayo ni maelezo yako au ya mwakilishi wa AG?
 
khaaaa hadi lema ashinde makange yako yatadoda ! chezeiya ikulu wewe
Inaonekana wewe hauko aware na wala hujui kwamba leo ni majumuisho ya hoja tu na si hukumu. hiyo kesi inakuja Dar hapo ni wanasheria wanaoneshana mbwembwe tu na umahiri wa fani hakuna jipya.
 
Hivi kweli huyu member kapotelea wapi?

Nakumbuka ile hukumu aliyopewa Lema na kuvuliwa ubunge kulikua na Member mmoja hapa akatupa Dondoo eti alikua baa pale Mianzini na akatonywa kua Lema atavuliwa Ubunge na ikawa kweli! Leo yuko wapi atupe matokeo??
 
Kwa ushauri wangu tu hii kesi unatuchosha bure, hapa lema hatoweza kupata kitu
Mpaka sasa sijaona standing argument za kimomogoro

Na ningeshangaa kama ungeziona; kwa akili gani uliyo nayo hadi uzionee? Hapo kwako ni sawa wewe na chekechea kufuatilia mdahalo wa Chuo Kikuu.

On second thought: Hata kuku-place level ya chekechekea nimekupendelea, you are way below that!
 
There are currently 2181 users browsing this thread. (437 members and 1744 guests)
Hawa guests wamekuwa wengi mno wanaogopa nini??mbona registration ni bure JF
 
Duh uzi unafuatiliwa .......

There are currently 2201 users browsing this thread. (435 members and 1766 guests)
 
Chande: under rule 106. hata Alute anaelewa vizuri hii hoja. Alute anapewa muda wa kujibu hoja za Kimomogoro.
 
Wengi hapo ni wabunge na vigogo!

There are currently 2181 users browsing this thread. (437 members and 1744 guests)
Hawa guests wamekuwa wengi mno wanaogopa nini??mbona registration ni bure JF
 
Back
Top Bottom