Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

kuna habari hii imezagaa kwamba walikamatwa na polisi wa afrika kusini kwa kubeba vitu walivyovitilia mashaka.Walihojiwa na baadae kuachiwa,je hili ni kweli? kama ni kweli tunaelekea kubaya kama taifa

Yani wewe zinga la -----.Yaani kwenye post unauliza kama habari ni za kweli hivyo unahitaji uhakiki.Kwenye post xakp ndani unasema unauhakika na umeambiwa na mtu.Kwa hiyo weee ukiambiwa kua usiku wa leo umeliwa kiboga utaamini tu kisa umeambiwa?Jipange tena
 
wale wapenzi wa burudani ebu nijuzeni kuhusu vijana wetu kwenye tuzo za mtv mama,i.e. vanessa na diamond
 
habari kama hz peleka facebook utapata wengi watao kujibu usipende kusadiki vyakuambiwa
 

kaumbuka haswa, Chibu angeiposti alivyotaka asingelala wangemtungia kila kitu cha duniani labda nae alidhani angerudiwa.

Kabla ya KTMA chibu amemposti kumpongeza biashara, nyimbo mpya hapo ni promo pia, sasa yeye akaozea kwenye kukumbukia mdude akalewa na mwenzake kujiunga kutaka kumshusha, bila aibu hadi magazetini na redioni unatangaza eti amesaidia Chibu kushindwa leo hii anataka nini kulilia uma juu ya Chibu kama sio wivu wa mahaba.

sijui huyu alienae hamkogi anabaki kukumbukia na kuchonga maneno ka vile kuna bifu. eti kadhalilishwa hawana jipya hilo tu ndio wanadaka wanawake na wasichana wadogo wanashinda kuwasapoti insta.

Wamwache Chibu kila mara lazima wamtaje kupata promo, wamezidi khaaaa.
 
huyo Singida kazi imezidi kidogo aliyemtegemea kumsaidia kumbeba alipigwa chini sasa ni ubizi wa kutafuta shoti kati zingine, kazi anayo kwa sasa zaidi ya alivyotegemea mwanzoni.

Hahahaaa hana jipya huyo yetu macho ubunge atausikia tu
 

mbona sikukuona humu ukiwasema hao waliokuwa wanaongea kwenye redio na magazeti kuwa wamesaidia Diamond asipate tuzo? yes huyo Jokate na wenzake mbona haukuanzisha uzi humu kuwakanya

Sababu nae Diamond anaandika yake mnanyanyua vidole na midomo, mumuache na maisha yake acha awajibu kwani yeye anathamani kubwa zaidi ya hao wote weka pamoja.

Kama Kuringa hata wewe lazima kuna waonsema una nyodo au? kama hauna basi jipange.
 
"teh asante baba ya ukweli nayaonaaa dunia inakaba ila taratibu ntazoeaa,yaga yaga sichoki nakomaa japo mambo vaga naamini yataninyookeaaa,natafuta nkisaaka kwa matatizo sana muda mwengine silali bariki ooo,mola nzidishie baraaka nami nzidi kwa saana sabaabu najua anayegawa riziki ni wewe...asante baaaba"(in mondi's voice@Alive by bracket x chibu)

Dah jamaa maneno yake yanafanya Mungu ambariki kweli huyu dogo...utasema anaoteshwaga ivi haya maneno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…