Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

ni kweli ndo maana hawajaomba sana kura kama domo kaya
 
na suala la kukusanya audience kwa hiyo davido na wizkid wanashindwa na dai kwa influence yakuvutia mashabiki hivi unamjujua wizkid au unamchukuliaje yule jmb acha ushabiki sema uhalisia #wizikidayo

acha ufinyu wabakili wewe.. katika nilivyokutajia wanaangalia uwe full paçkage kwenye kila sector sio unaangalia sehemu moja..

Ndio maana shuleni kwenye masomo 5 unaweza ukaongoza somo 1, and still in average ukapigwa bao...

Kichwa kigumu kwasababu umezoea daladala tour mtvmama wapi na wapi kijana hahahaha
 
Last edited by a moderator:
Hivi utoto utaachaga lini?
Unaboa mpaka.Muda wote unawaza ujinga ujinga....unawawaza hao hater kuliko unavojiwazia wewe na maisha yako.
Utatokwa roho bure na haya mambo ya ushabiki.

Nani kakwambia maisha yangu it's all about that comment??? You are taking things so seriously imekuchoma kumoyo nin??

Moyo wangu ti ti ti unakimbiaa ina chibus voice
 
Mods mods mmeanza madudu yenu kwendeniiiii huko kuna comment mbaya hapo, msiniharibie siku mie wakati nangoja tuzo
 
Nani kakwambia maisha yangu it's all about that comment??? You are taking things so seriously imekuchoma kumoyo nin??

Moyo wangu ti ti ti unakimbiaa ina chibus voice

Una utoto na ujinga mwingi mwingi mpaka unanikera.
Sio siri unanichefua, chefuuuu chefuuu!
Yani uwe kama wenzio baadhi, acha ujinga kidogo.
Free your soul.
You are better than that.Mpaka huruma yani.
 
Nipo binamu hapa roho inapwita huyu mbwa sijui atachukua tuzo

Binamu yani achaaa
Mimi hapa nangoja kwa hamu.
Kuna pashkuna linatamani wengine tukatiwe matangazo dstv .yani linadhani tuzo za marehemu babu yake.
MXIIU
 
Dimonddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddd
 

ebu nisaidie wimbo wa V mtonyo aliomshirikisha/shirikishwa na mnaigeria coz unanichanganya mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…