Hohohooooo ( devil's laughter ), hujambo kwanza mcute?
Hongereni timu davido (kiba&wema) kwa kupata tuzo!
Hizo zilikuwa tuzo za MTVMAMA na zote zinaheshima sawa,
Tuzo ya Best live ni tuzo anayepewa msanii ambaye ni multitalented, kama ulikuwa hujui (japo najua unajua).
Ina vigezo vingi vya kuangalia ikiwa pamoja na ni kiasi gani unaweza kutawala jukwaa, kuimba huku ukicheza, kuwasherehesha mashabiki, wanaangalia umefanya show ngapi, wapi? (Katika matukio gani? )
Kusema ni tuzo isiyo na heshima ni kuleta excuses tu za kutokukubaliana na fact kwamba Diamond ndo kaichukua na kujiweka katika comfort zone !
Ingekuwa kigezo ni kunengua Super Nyamwela asingekosekana kwenye nomination hahahaaaaa!
Hahahaaaaa (cute b voice )
Sijambo mamie wangu...
Mamy ilo naelewa mbonaa.... sio kila linalobishwa basi ndivyo ilivyo mamie.
Kila category aliyopo dai he deserve na ndo maana kawekwa (hahahaaa kama vile naona wanafiki wanavyo fyonza ) ila ndo ivyo anastahili sana sema ndo ivyo kura tuu zime pungua sijui nini ala najua alistahili.
But kwa kuwa nilianza kunyweshwa ndimu nikaona kama mbwai iwe mbwai baridaaa...
Ila kwa mtu anayejua ata wakisema hajui haiumizi wala haimshushi chochote but fools ndio watakao argue na ndo nilitaka wa panic. Kwani mamie wewe si ke? Ukiambiwa wew ni me na unajijua ni ke utaumia nini? Ukiumia na kupanic maana yake huamin jinsia yako....
Hongereni kwa kupiga kura binti kiziwi.
ANASTAHILI KUPATA TUZO ZOTE TATU ILA SIO MBAYA KAMA KAPATA MOJA (keep on voting)
#wanafikiwanajuanimesurrendahahahaaaaa
Team kiba mmebugi meeeen hahahaha king ana hali mbaya sana kwakweli embu nenda insta kamfariji kidogo maana team chibu hawana huruma kabisa kiba anakula za usoo
Wapi team ukawa hahahahahaha
Mtu na mke mwenzie akili zao sawaDai kamsupport sana Kidoti, ye alijua wameachana kishkaji kumbe kisichana kile hakikuridhika! Kinafiki kidada kile! Pytuuuuu
Hahahaaa na madera zetu tunafunga na mikanda (In Zari's voice) anakwambia vaeni madera zenu mfunge na mikanda hahhaha
Kwa upeo wako wewe, labda mwenzangu ulipata mgao wa Idrisa kutoka BBA.
Am too old for this, akili yangu imejikita kwenye siasa za nchi kwa sasa.
Na tshirt tushachapisha mpaka madera watu woyooooooo.....tutambeba juu juu!!
Santeeeeeeeeeeeeeeeeee, barida tu ama nene! Hahahaaa hapo kwenye kusonya Nimechekaje?
Hahahaaaaa (cute b voice )
Sijambo mamie wangu...
Mamy ilo naelewa mbonaa.... sio kila linalobishwa basi ndivyo ilivyo mamie.
Kila category aliyopo dai he deserve na ndo maana kawekwa (hahahaaa kama vile naona wanafiki wanavyo fyonza ) ila ndo ivyo anastahili sana sema ndo ivyo kura tuu zime pungua sijui nini ala najua alistahili.
But kwa kuwa nilianza kunyweshwa ndimu nikaona kama mbwai iwe mbwai baridaaa...
Ila kwa mtu anayejua ata wakisema hajui haiumizi wala haimshushi chochote but fools ndio watakao argue na ndo nilitaka wa panic. Kwani mamie wewe si ke? Ukiambiwa wew ni me na unajijua ni ke utaumia nini? Ukiumia na kupanic maana yake huamin jinsia yako....
Hongereni kwa kupiga kura binti kiziwi.
ANASTAHILI KUPATA TUZO ZOTE TATU ILA SIO MBAYA KAMA KAPATA MOJA (keep on voting)
#wanafikiwanajuanimesurrendahahahaaaaa
Akikwambia mida anayopita niambie nikamshuhudie
viandazi vya bakhresa na kasoseji ha ha haHahahaaa usisahau kupiga picha unitumie wasapu! Can't wait to see vitako kama viandazi vya Bhakhresa teh teh! Cc. Shardcole
Yaan hadi sasa ivi hajaniambia mda ngoja cku haijaisha bado 😀😀😀 tumckilizie
Nataka deraaaaa
Team hatuhami ng'oooo!.Watu wote wakishabikia Barcelona nani atashabikia Realmadrid.
Waache wafurahi.
Hilo litoto wala lisikuumize kichwa.
Team hatuhami ng'oooo!.Watu wote wakishabikia Barcelona nani atashabikia Realmadrid.
Waache wafurahi.
Hahahaaaa wewe hujui tuu watu wata fyonza tuu hamna namna.
Baridaaaaaaaaa... mia miaaaaaaa.
Najiandaa mimi na mpenzi wangu sumbai kwenda kumpokea icon ama neneeee.
One love mamie
Team hatuhami ng'oooo!.Watu wote wakishabikia Barcelona nani atashabikia Realmadrid.
Waache wafurahi.