Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

 
Pilau lote ulilokula lazima uharishe.. Maana digestion ishaharibiwa kabisa na ishindi wa Dai... Poleee mamaa uparato unakubana

Hahahaaaa jamaaa ni mnenguaji mzuri.
TUZO YA HESHIMA KWA DAVIDO...
WOYOOOOOOOOOOO
 
kuvua nguo na kubaki uchi jukwaani ni masharty ya tale aloprwa na babu yale wameacha sasa hivi wanavua t shirt tu

Hahahaaaaaa kweli ni masharti maana sio kwa kuvua nguo kuleee..
 
Namuonea huruma.... Na kubana kote kule na kumpigia davido kura zote zile ila wote na dai wamepata kura moja moja

Ipi ya heshima?
Unenguaji au uwanamziki bora?
Sema mwenyewe hahahaaaaa akaombe collabo
 
Africa ni Tanzania tu kuanzia south ni ulaya tuzo wanagawa kiakili sio Kama KTMA kuna mwaka Ktma kuna MTU atakuja chukua tuzo hata 12 kwa Mara moja shame upon them MTV hawajali wewe ni nani mashabiki wana nafasi yao na majaji pia wana nafasi yao then wanao wania tuzo wote wanaitw kuperform means ukikosa kimoja kingne unapata na kuepuka upangaji wa matokeo Ktma wao wanapiga ramli tuuu msanii anaenda hajui Kama atapata au hatapata anapoteza mda wake for nothing

Kuanzia Leo sito fuatiria tena show wala kuangalia tuzo za Ktma mpka watakapo badirika ubabaishaji tuu hongera MTV base
 
Hahahaaaa jamaaa ni mnenguaji mzuri.
TUZO YA HESHIMA KWA DAVIDO...
WOYOOOOOOOOOOO

Cute b usiku mwema... Ila sikuachi hivi hivi.. Nakuacha kwa hisani ya ndimu 15 na malimao 7... Akija bebe wangu nifah unisaidie kumpa ata kidogoo agaa kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Kuandama wanaandama wadada Wa San siro like yo

Ahhahaaaaaaaa pole zako tena pole sanaaaaaa!!!ngoja nikuignore maana nikianza kukutandika matusi yangu nitaishia ban ya wiki mbili na zaidi wakati nashangalia ushindi

good night loooser
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…