Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

team marioo wanatetemeka....wanate wanate wanatetemekaaaaaa!!

Uuuuwiii si si mnaonaaaa, mziki wa Dangote kuuzima hawawezi, si si mnaonaaaaa....Jamani wekeni hata kigodorooooooo.....me silaliiii ndo nshasemaaaaa
 
Huyu dada nguo yake imepasuka akitembea mapaja yanakaa nje hata hawamshtui akabadilishe.
 
kile chenyewe kakikwaa kwa bahati mbaya mwakani wizkid anamkalisha mtu yani domo limshinde davido c maajabu hayo

Kama kawa kuna hizi sijui za wapi na davido yupo....
Vote for davido...
Uzalendo hahahaaaaaaa
 
Hahahaaaaaa namaanisha DAVIDO NI MWANAMUZIKI BORA WA KIUME.
Domo ni mkata mauno.
Lol bora kapata maana ana kiuno kama feni mbovu

Getarrraaaaahia yo just a looser.gud for nothing
 
Kupitia hizi tuzo za mtv, kuna kitu chakujifunza, jamaa wanatenda haki nakuangalia vingezo mbalimbali zaidi yakupiga kura, sio hizi tuzo zetu zinatoka kama njugu
nyi ndo mnarydisha maendeleo nyuma kwa hiyo kila kitu tuige wazungu au nje ya tz na cc tunamsimamo wetu ye domo c alichukua 7 mbona hakurudisha hata moja au coz ni king za maunda kibaaaaaaaa
 
wizkid na tuzo wapi na wapi hata kura haombi bwana yule anapiga kazi kazi ndo itajieleza sio kila cku click bio to vote click bio to watch video sifaaaa anatakaa

Kwani ulitakajeeeee? Mbona unalia lia?
 

Mkuu acha apewe jamani.
Huonagi anavyokata mauno? Na kuvua boxer hadharani.
Wameamua kumpa kifuta machozi ili asikate tamaaa
 
Hahahaaaaaaa kalambe zile ndimu.
Domo mnenguajiiii

Wewe si cute kama unavyojiita,cute ni bora nyanja zote,nina wasiwasi medula yk wewe huyo uliisifia tuzo ya kiba as bestlive kinoma,nadhani ulimpenda dai at beginimg ,hukubahatika ht kusheki hand nae badala yk ukajenga hatred inayokutafuna hd leo poleeeeeeeee!!!!!!
 

Chibuuuuuuuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…