nenda huko wizkid co muafrika au ojuolegba itachukua matuzo kibao na mwakani ndo best male wizkid
hiyo style yake yakujibinua binua vitako kama gasho na kutupa t shirt kwa mashabiki
jaman dai kajua kunipa raha kwa ushindi wa leo
Kuamini diamond ni best live act mbele ya Mr flavour ni zaidi ya upopona
Kwa Africa hakuna msanii yeyote anaemfikia flavour kwa live performance
Kama unaikosoa tuzo ya utumbuizaji aliyoshinda Kiba ktma mbele ya dai
Kosoa na hii dai hamfikii flavour hata kwa bakora
Kuamini diamond ni best live act mbele ya Mr flavour ni zaidi ya upopona
Kwa Africa hakuna msanii yeyote anaemfikia flavour kwa live performance
Kama unaikosoa tuzo ya utumbuizaji aliyoshinda Kiba ktma mbele ya dai
Kosoa na hii dai hamfikii flavour hata kwa bakora
wizkid na tuzo wapi na wapi hata kura haombi bwana yule anapiga kazi kazi ndo itajieleza sio kila cku click bio to vote click bio to watch video sifaaaa anatakaaDavido - nominations 4 kapata 1
wizkid - nominations 3 hajapata
Diamond - nominations 3 kapata 1
AKA - nominations 3 kapata 1
East africa wasanii 5 aliyepata ushindi 1 Diamond
Hakika huyu ni muwakilishi wetu mzuri sana...
Hail to the king diamond
mwanamuziki kibakuli nasikia ataanza mamantilie tour sio mda kuwashukuru watu kwa kuangalia video ya cheketua youtube
Na ile walivua nguo jukwaani wakabaki na vyupi...
Chezeiyaaaaa wanaanzaje kukosa ya unenguajiiiiiii?
Wanaaa wanatetemekaaaaaa....
Ayaaa chekecha cheketuaaa
Bado upo kimboka au sewa?
nauliza tuu wadau, msanii pekee toka east africa aliyenyakua tuzo za mtv mama 2015 ni..............
í-½í¹Œí-½í¹Œí-½í¹ŒâœŒâœŒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒ
oyaaas usikurupuke ndugu
Upigaji kura wa mama evolution ulikuwa through hashtags insta na twitter...
Ayaaa chekecha cheketuaaa
hizo tuzo na matamasha kama fiesta ndo vimemtoa domo na wasanii wengi sasa we cjui unaongea kiushabiki tu au mahaba niuweesana tu sio kama ktma wananunuliwa watengeneze msanii wa kupafom bure fiesta wakati fiesta inaingiza mabilioni
Hizi tuzo si rahisi kupata kama wengi wanavyofikiri, ndo mana kuna umuhimu wakupeleka wasanii wengi kimataifa, cheki wanigeria wamezoa tuzo kibao, sisi tumekalia majungu
Nauliza tuu wadau, msanii pekee toka EAST AFRICA aliyenyakua tuzo za mtv mama 2015 ni..............
í-½í¹Œí-½í¹Œí-½í¹ŒâœŒâœŒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒ