Ndo basi tyenaaaaaaaa. haters pyeeeeeee, msubiri ianzishwee category ya mwanamuzuki mkongwe chipukiziii....Ndovu mwisho kimaraaaa Africaaaa yoteeeee Sankorooooooo....Kama Ronaldoooo....
Halafu huu ungese wa kusema Diamond katokea Togo itabidi watuombe radhi.. Kwa wale mliokuwa mnaangalia perfomance ya chibu..
Hivi hawajui tunaweza kutangaza mapumziko ya Taifa kwa siku 3 kwa ushindi huu halafu wanafanya errors kama hizi
Moja yatosha kwa mwaka huu MAMA AWARDS, Nina imani mwakani NANA haitatutosa.!
hizi tuzo mbona ni kama grili zimechomelewa pamojaMoja yatosha kwa mwaka huu MAMA AWARDS, Nina imani mwakani NANA haitatutosa.!
Hongereni mkuu.
Domo sio mwanamuziki ni dancers..
Hamna tofauti kati ya domo na mose iyobio hahahaaaaa
kwa mwaka jana haina ubishi..
kwa mwaka huu diamond, na tutaichukua mwaksni
He hee...tuzo tuzoo tuuu....
To me zote sawa...kuliko kutopata au kutoshirik au kutokuwa nominated kabisaaa
Tuzo ya kufanana na Bush man
Muda wa kuwanga ushafikaaa, Leo wametukuta machooooo, wataanguka na nyungo zaoooo....Dai juuuuuuuuuuu, wapiiiii ndovuuuu
Ndo basi tyenaaaaaaaa. haters pyeeeeeee, msubiri ianzishwee category ya mwanamuzuki mkongwe chipukiziii....Ndovu mwisho kimaraaaa Africaaaa yoteeeee Sankorooooooo....Kama Ronaldoooo....
hakika nimeamini mtv base wanaangalia sana uwezo wa mtu kuliko kura
Tuzo ya unenguaji na uanamziki bora ipi nzuri na ya heshima? Tehe teheeeeee
Ridhikeni ni hiyo hiyo ya udancers pia ni nzuri maana atagawana na ma dancers wenzakeee....
Hongereni mkuu.
Domo sio mwanamuziki ni dancers..
Hamna tofauti kati ya domo na mose iyobio hahahaaaaa
Hongereni mkuu.
Domo sio mwanamuziki ni dancers..
Hamna tofauti kati ya domo na mose iyobio hahahaaaaa
sana tu sio kama ktma wananunuliwa watengeneze msanii wa kupafom bure fiesta wakati fiesta inaingiza mabilioni