jamani mimi ni machozi tu yananitiririka hapa, hii furaha mimi siitaki inaniumiza sasa, acheni mumgu aitwe mungu jamani tulizalilishwa saaaaaaaanaaaaaa, tulitukanwa saaaaaanaaaaaaa! tulichambwa saaaaanaaaaaaaaaa. speechlesssss!!! cant talk awards only will speech on my behalf. thank u God
hata kama diamond kachukua ila wabongo kwa Figisu tu nimewakubali...yaani wakaunda hadi account insta kushawishi Daimond asipigiwe kura...kama Diamond ameweza kuruka kihunzi cha figisu za wabongo hadi kutoboa basi he is unbreakable
All the way from Togo or Tanzania?
kudadadekiiiii umemcheki mr fleva anavyoshuka na demu jukwaani mamaaaaa diamond is a killer meeeeeen
What a performance from diamond
kwani davido alikuwepo kwenye hiyo category
Team wema na kiba washezi kabisa wamekaaaaaaa papapapapa
Tupende vyetu
Hapo ndipo unaonekana umuhimu wa kuwa na watu wengi wanaofanya vizuri kwenye industry. Sitegemei kama msanii wa nigeria atatajwa kuwa katokea Angola! Kwasababu wameshajibrand na wanajulikana sana.
What a performance from diamond
Leo hongera zinatoka kwenye uvungu wa moyo ha ha ha weraaaaaaaaaHahahah nmeipenda sana hii cjui ulkuwa unawaza nn wakat unaandka