Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

kwani davido alikuwepo kwenye hiyo category

Ukiona hakuwepo ujue alichujwa tokea kwenye kutafuta nominations watano...

Ila si ulimpigia flavour hahahahahaha au ilikuwa maneno tu oyoooooooooooooooooooooo
 
Leo ndo uzalendo unatajwa hongera mtanzania mwenzetu ha ha ha sipati picha comment zingekua audio, hizo sauti za majonzi weraaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…