Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Daah Neyo Anakamua Live No Play Back.Somo Kwa Mond

exactly hata mbuyu ulianza kama mchicha the more anaperform kwa majukwaa makubwa na watu waliofanikiwa anajifunza na kuadvance... kikubwa diamond ni mtu wa kuchangamkia fursa na kujiongeza kadiri anavyojifunza
 
Ya kilimanjaro yale yalizidi.....zile hazikuwa tuzo zile....

Unajua kuna sehemu ukishindwa ...unasema yes nimeshindwa kihaki ...sio na Mfalme asiye na nyumba ya kuishi

Hehehe watakuja Na hasira
 
Ojwang hataki sifa?kwanini na yeye asinunue hata awe nominated tu?!

Basi mkuu inatosha.. Alikiba legend wetu.. Tumuache apumzike kidogo lets talk about kivipi tumewagalagalza mpaka tumebeba hili lotuzo oyooooooooooooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…