Live Updates:Mpira Mkubwa,Simba vs Yanga

kuna mtu ameanguka ghafla hapa na anaenda kubebwa na watu wa huduma ya kwanza, ni mwanamama flani kavaa nguo nyekundu
 
Akili za wachezaji wa Simba wanazijua wenyewe, yaani fungwa na vitimu kibao lakini sio Yamga.

Hahahahahaaaa.... ndo maana Rage aliwaita mambumbumbu... anawajua vizuri.
 
dakika 45 zimekatika kipindi cha pili na zimeongezwa dakika 3
 
Simba 2 Yanga 1 taharifa vijijini radio mbao zina Chelewa.
 
muda wowote mpira utamalizika hapa uwanja wa taifa
 
Mpira umekishwaaa.asante Kamanda Skype kwa updates makini
 
Shabiki mmoja wa simba ni kama amekufa.
 

FULL TIME:

Yanga 1-1 Simba

============
MPIRA UMEKWISHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…