Live Updates: Morocco Vs Tanzania leo, 8 June 2013 uwanja wa Stade de Marrakech

Kaka mbona Barca walikuwa wanawachezea Chelsea nusu uwanja na still wakatundikwa?

Kama unaongelea magoli ya bahati au kuwalipa marefa brown Envelopes ni sawa lakini sio mpira. Tunafahamu Chelsea jinsi wanavyoshinda.
 
kwa matokeo haya hadi sasa tunaendelea au hatuendelei?

aba8u3a8.jpg


Sent from my HTC Desire S using Tapatalk 2
 
Mpira bongo bado, kama yule mchezaji aliyebaki na kipa angefunga tungekuwa na mchezo mwingine, vile vile hawakujiandaa vya kutosha - huwezi kuchezewa nusu uwanja kwa dakika 40 bila kufungwa, that's a very serious mistake by the coach and senior players, Timu za kiarabu siku zote ni kimeo kwa Watanzania lakini west African countries hawakubali huo ujinga.

Kitu kingine kinachochangia kuanguka kwa soka bongo ni kupendelea wachezaji wanaocheza kwenye club za Simba na Yanga au wale walioko Dar es salaam zaidi. Kama hii nchi hawatarudisha mashindano ya Umiseta pamoja na kufanya michezo ni kipau mbele katika kutangaza nchi pamoja na kuwalipa vizuri wanamichezo tutafungwa kila mwaka. Kipimo chetu isiwe East Afrika competitions ... .... .... .... Poleni mashabiki wenzangu wa michezo ... ..
Bwana Kaka, acha kupaniki Barcelona wana-kuwa na mpira dakika zote 80 katika mchezo wa dakika 90 lakini wanafungwa, au umesahau Chelsea VS Barceloana 2012 ambapo Chelsea ilichukua ubigwa huku wakiwachia Barcelona wawe na mpira dakika kibao! Mpira ni mbinu.
 
Morocco puto limeshatoboka.upepo umeisha.yaani athletism tumewazidi kabisa!just somebody to be smart upfront there pleaseee Samatta pleaseee jamani!
 
Back
Top Bottom