Live updates mkutano wa ukawa pemba

Mwaka 2015 CCM huko wataapata viti kweli kama hali yenyewe ndiyo hiyo?
 
Naona kuna bendera ya India :rapture:
 
Hii ni Live ikiwa na maana inaendelea dakika hii au ? tupeni links za radio zinazorusha
 
Tumain Makene uko wapi mkuu ?Tuletee updates hapa jmvini mkuu,wengi tulitamani kuwepo kule ila uwezo hatuna.Jitahidi...
 
Safar hii ccm watataga kama si kutoto!!
 
tunawashukuru sana UKAWA kwa kuikomboa nchi hii .
 
Tuko pamoja maana daima haki hushinda dhuluma c.c.yem na shetani wao sisi na mungu aliye hai.
Viva ukawa.
Cc'nape,mwanadiwani.
 
Uwt wanaendelea kumalizana kwa maslahi yao sisi na ukawa
ni kama samaki na maji.
Makamanda wote pazeni sauti zenu kuupigania ukombozi maana saa ndiyo hii!
 
Tuko pamoja maana daima haki hushinda dhuluma c.c.yem na shetani wao sisi na mungu aliye hai.
Viva ukawa.
Cc'nape,mwanadiwani.

hao uliowapelekea nakala hawathubutu kuja kwenye uzi huu .
 
Tupeni na habari kwa kina zaidi wakuu mlioko huko.
C.c.m wana haha ooh, mara gari ya mbowe imkamatwa
nyambafuuuuu...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…