Eti Babu awe Rais labda wa wapenda vibinti.Mtu mzima utazaaje bila ndoa kama sio uzinzi ni nini
Eti Babu awe Rais labda wa wapenda vibinti.Mtu mzima utazaaje bila ndoa kama sio uzinzi ni nini
babu slaa kisukari kinamsumbua.mtafutieni dawa za kienyeji zimsaidie.si mnajua wenye kisukari wanaishia kupiga picha na kinamama tu.
Wazo hili linatoka kwa mtoto wa kiume au wa kike?Taifa hili linahtaj watetezi na viongozi wanaojali maslah ya watanzania regardless ya physical conditions zao au umri, hao wasiochoka wamekusaidiaje ww mtanzania???Sitashangaa kuskia kuwa wewe ulimchagua JK kwa vile ni handsome! Uhandsome wa JK wewe mtoto wa kiume umekusaidia nini?? au ww ni mliberali???Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atakayekubali Tanzania iwe na Rais aliyechoka namna hii,
"Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people". Eleanor Roosevelt. Je wewe kwa hoja hii unadhani umeangukia kundi gani hapo????Tafakari, chukua hatua.Wenye vibinti vyao wavichunge kwasababu babu ndiyo ugonjwa wake huo.
Mkuu hayo ni mambo yetu ya ndani chamani,wewe umeyajuaje?Utakuwa umepewa jukumu la kumtafutia kibinti wewe.
Wenye vibinti vyao wavichunge kwasababu babu ndiyo ugonjwa wake huo.