MPANDA Jr
JF-Expert Member
- Nov 27, 2011
- 1,295
- 159
Baada ya kukamilika kwa mahafali ya CHASO ambapo Rai.s Dr. Slaa alitunuku nishani na vyeti kwa wahitimu 183 wa Wanachama wa CHADEMA, kwa takribani saa moja sasa Barabara za mitaa ya manispaa ya Morogoro zimefungwa kupisha msafara WA magari na maandamano ya kuelekea vilipo viwanja vya mkutano.
Viwanja vya sabasaba vimejaa tangu saa saba. Nitaleta picha.
--------------------
Viwanja vya sabasaba vimejaa tangu saa saba. Nitaleta picha.
--------------------