habar.leo chungaji msigwa(mb) atahutubia wanachi wa iringa ktk eneo la kihesa sokon.wanachi kwakweli ni wengi na wanaendelea kufika ktk eneo.na mchungaji msigwa bado haja wasir katika eneo la tukio...ila gari za polisi ziliz jaa pilis zipo na zimejaza polis kweli kweli.niataendelea kuwajuza kadri mkutano unavyo endelea .