kwa tanzania ukiona polis wengi hasa mikutano ya wapinzani, ujue wanataka kuua ama kujeruhi raia wema!Ukiona mtu anaogopa polisi ujue ni mhalifu.
hivi zile hela polisi walizo pora kwa majambazi walovamia duka la hela pale kariakoo zilipatikana?Ukiona mtu anaogopa polisi ujue ni mhalifu.
Ukiona mtu anaogopa polisi ujue ni mhalifu.
Je suluhu ya Machinga kutumia eneo la Mashine Tatu imepatikana?
Chadema mwaka huu mtawafanya maghamba waandae mabomu mengi, maana dar, mbeya, iringa nk, mnapiga mikutano nimeamini hakuna kama chadema as a political party!
mkutano umemalizika na watu wanawahi manyuman na ratiba keshi ni eneo la mrandege nilie walitea live habari hiz ni mim IBRAAH.....KWA HISAN YA CHADEMA.
huyu bana kuba huwa anazuka tokea wapi? Uroho wa ubunge unakusumbua, ukisikia msigwa moja wala mbili hazikaiukiona mtu anaogopa polisi ujue ni mhalifu.