Wewe ndie mkuda na Mkabila,Hanipha leta mambo hapa maana nipo safari nmeona gari ya M4C hapa Dumilausilete umbea!cdm chama chetu cha north...
mungu amlinde kamanda lissu, uzalendo wake kwa taifa hauna mashaka! M4c daima!Tundu Lisu amepita hapo Dumila anawasha moto kata za Masanze, Ifakara na Minepa. Hanifa atatupa
maandamano yanaendelea...Tupeni updates za kutosha toka hapo moro, je kuna uchaguzi huko?
Kamanda hanifa ubarikiwe sana babe. MmmmwwwAaaaaahhh na wewe pia.Ni mkutano wa kwanza wa chama kubwa tangu kutokea kwa tukio la polisi wa Dumila kubambikia mwananchi fuvu la binadamu ili wajipatie fedha. Nitaleta picha. Chadema mmwaaaaa!!
Eti ccm wameacha ufisadi...wewe akili yako iko kwenye masaburi....utakuwa unagongwa masaburi wewe.Jamani cdm mnahaha kufikia uchaguzi mtakuwa mmefulia vibayaaa. Wengine tunasubiri mapya wakati wa kampeni na ccm wameacha ufisadi cjui mtaongea nini?
Jamani cdm mnahaha kufikia uchaguzi mtakuwa mmefulia vibayaaa. Wengine tunasubiri mapya wakati wa kampeni na ccm wameacha ufisadi cjui mtaongea nini?
Eti ccm wameacha ufisadi...wewe akili yako iko kwenye masaburi....utakuwa unagongwa masaburi wewe.
Jamani cdm mnahaha kufikia uchaguzi mtakuwa mmefulia vibayaaa. Wengine tunasubiri mapya wakati wa kampeni na ccm wameacha ufisadi cjui mtaongea nini?
Hapo utakuta mapambio yanapigwa sana.Na wauza rozari na biblia wamejaa