Live updates Mkutano wa CHADEMA Dumila. Mahali Polisi walipobambikia mwananchi fuvu

MPANDA Jr

JF-Expert Member
Nov 27, 2011
1,295
157
Ni mkutano wa kwanza wa chama kubwa tangu kutokea kwa tukio la polisi wa Dumila kubambikia mwananchi fuvu la binadamu ili wajipatie fedha. Nitaleta picha. Chadema mmwaaaaa!!
 
Wewe ndie mkuda na Mkabila,Hanipha leta mambo hapa maana nipo safari nmeona gari ya M4C hapa Dumila

Tundu Lisu amepita hapo Dumila anawasha moto kata za Masanze, Ifakara na Minepa. Hanifa atatupa
 
Hapo utakuta mapambio yanapigwa sana.Na wauza rozari na biblia wamejaa
 
UPDATAS =======
Polisi waliotumwa kulinda mkutano wamekuja na bunduki SMG, kiongoz mmoja kawatangazia wananchi juu ya hilo nusura izue taharuki.
 
Jamani cdm mnahaha kufikia uchaguzi mtakuwa mmefulia vibayaaa. Wengine tunasubiri mapya wakati wa kampeni na ccm wameacha ufisadi cjui mtaongea nini?
 
Ni mkutano wa kwanza wa chama kubwa tangu kutokea kwa tukio la polisi wa Dumila kubambikia mwananchi fuvu la binadamu ili wajipatie fedha. Nitaleta picha. Chadema mmwaaaaa!!
Kamanda hanifa ubarikiwe sana babe. MmmmwwwAaaaaahhh na wewe pia.
 
Jamani cdm mnahaha kufikia uchaguzi mtakuwa mmefulia vibayaaa. Wengine tunasubiri mapya wakati wa kampeni na ccm wameacha ufisadi cjui mtaongea nini?
Eti ccm wameacha ufisadi...wewe akili yako iko kwenye masaburi....utakuwa unagongwa masaburi wewe.
 
Eti ccm wameacha ufisadi...wewe akili yako iko kwenye masaburi....utakuwa unagongwa masaburi wewe.

Usiwalaumu,mwigulu katuharibia vijana lumumba,anawala 0713 na kawafugia ndevu wazishike shike
 
Jamani cdm mnahaha kufikia uchaguzi mtakuwa mmefulia vibayaaa. Wengine tunasubiri mapya wakati wa kampeni na ccm wameacha ufisadi cjui mtaongea nini?

Wameacha lini ufisadi? mbona hela za USWISS hazijarudi?, za EPA je? wanyama wetu walio uzwa qatar je? bilioni 250 juzijuzi TAROADS, WACHA UTANI FISADI HAACHI LABDA AFUNGWE AU ANYONGWE KAMA WANAVYO FANYA WACHINA.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom