Live Updates: Mkutano wa CHADEMA - Arusha!

Big up sana makamanda wa Arusha kwa kutujuza yote yaliyojiri huko Arusha katika uzinduzi wa ''Northern Province''.
Tumewasoma vilivyo makamanda Crashwise, Mungi, LiverpoolFC na wengine wote mliotiririsha habari hapa JF!
 
Last edited by a moderator:
 
Big up sana makamanda wa Arusha kwa kutujuza yote yaliyojiri huko Arusha katika uzinduzi wa ''Northern Province''.
Tumewasoma vilivyo makamanda Crashwise, Mungi, LiverpoolFC na wengine wote mliotiririsha habari hapa JF!

pamoja kamanda, jukumu letu ni kuhakikisha tunawahabarisha watu wote hasa walio mbali na Arusha kama akina wewe mwenyewe, au akina Nyani Ngabu TUMBIRI na wengine wenye nia ya kutaka kujua kinachoendelea kwenye nchi yao
 
Last edited by a moderator:
Naipenda CDM. Kanda ya kati lini??? Naumia kanda yangu bado tumelala.
 
Last edited by a moderator:
Ni ukweli mkutano ulikuwa mkubwa na wenye hamasa kubwa sana. Nnapenda kukiri kwamba Arusha CHADEMA imekamilika. Kila mtu unayemwona ni mwanaCHADEMA. Kumwona mCCM ni kazi sana. "Itakubidi utafute kwa kutumia darubini. Arusha CCM kwishney!
 
Uchaguzi wa nafasi za madiwani Arusha utakuwa lini? Mbona kata zimepuuzwa kiasi hiki?
 

Elimu ndiyo hiyo, kila hatua unayoipiga lazima kuna mahali ulianzia. Watu watailewa.

Hata hivyo mbona hata CCM walishanza kutumia mfumo wa kimajimbo? Hujawahi kusikia akina Stela Manyanya 'Rukwa', Pinda na Katavi yake.....nk.??

Habari za majimbo si ngeni kama baadhi ya watu wanavyotaka kujikinga kwenye kichaka. Tanzania tuna kanda ngapi? Ni kweli watnzania hawajui mpaka sasa tuna kanda ngapi? Taasisi, Mashirika, vyombo vya serikali havifanyi kazi kikanda huku ofisi kuu zikiwa Dsm? Kwa nini wanafanya hivyo? Tafakari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…