LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,389
wazo la msingi sana inapokuwa ni matukio ndani ya arachuga daima huwa sinashaka kwa covarage inayoshamirishwa na picha uwepo wa crashwise hauna ubishi!
ni muendelelezo wa kuigawa nchi katika udini na ukanda .... lengo kubwa ni kuona kanda ya kaskazini inajitenga hizi kanda nyingine na porojo tu
ni muendelelezo wa kuigawa nchi katika udini na ukanda .... lengo kubwa ni kuona kanda ya kaskazini inajitenga hizi kanda nyingine na porojo tu
Imeingia mitini, kuna nini?Jamani Arushamambo mbona haipatikani? nipe link nyingine