Wikiliki JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 528 Reaction score 141 Apr 21, 2013 #21 Mkutano wa magamba unaonywesha live TBC. Ninaona badala ya kueleza wananchi wamefanya mini wanawaburudisha na vikundi vya wanamziki ili kupoteza miss.
Mkutano wa magamba unaonywesha live TBC. Ninaona badala ya kueleza wananchi wamefanya mini wanawaburudisha na vikundi vya wanamziki ili kupoteza miss.
Mzururaji JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,558 Reaction score 1,274 Apr 21, 2013 #22 bungeni said: Watu ni wengi kweli kweli Click to expand... sio kwel acha kuzingua naona Chege na Temba wapo stejn
bungeni said: Watu ni wengi kweli kweli Click to expand... sio kwel acha kuzingua naona Chege na Temba wapo stejn
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,705 Reaction score 272,583 Apr 21, 2013 #23 Asante kaka , tunafuatilia , kati ya maneno 100 , 90 yatahusu CHADEMA , 10 yatahusu uongo , 0 yatahusu maendeleo ! ( Kutoka kinywani mwa Nape )
Asante kaka , tunafuatilia , kati ya maneno 100 , 90 yatahusu CHADEMA , 10 yatahusu uongo , 0 yatahusu maendeleo ! ( Kutoka kinywani mwa Nape )
M MI6 Senior Member Joined Jul 19, 2012 Posts 175 Reaction score 21 Apr 21, 2013 #24 Tumeanza na wasanii kwanza ili tuvute watu baadae ndo tunaanza hotuba. Wanaume family kwa jukwaaa.
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,358 Apr 21, 2013 #25 Ndiyo zao tumeshawazoea hao. Hiyo ni neema kwa wasanii.
utaifakwanza JF-Expert Member Joined Feb 1, 2013 Posts 14,193 Reaction score 2,815 Apr 21, 2013 #26 Chege wanalichamsha jukwaa
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,298 Reaction score 38,438 Apr 21, 2013 #27 wanahangaika.!!
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,358 Apr 21, 2013 #28 Namuona Kinana pale naona kutakuwa na mabomu leo wanataka kutupa ndiyo maana wameamua kwenda live
utaifakwanza JF-Expert Member Joined Feb 1, 2013 Posts 14,193 Reaction score 2,815 Apr 21, 2013 #29 Aisee ni nyomi balaa
Grenvil Senior Member Joined Feb 6, 2013 Posts 180 Reaction score 16 Apr 21, 2013 #30 Magamba wasanii kibaooo
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,358 Apr 21, 2013 #31 Tayari 10ml imeshaondoka kwa Diamond maana show yake moja ni karibu ni Tshs 10ml. Hii ni neema kwa wasanii.
Tayari 10ml imeshaondoka kwa Diamond maana show yake moja ni karibu ni Tshs 10ml. Hii ni neema kwa wasanii.
MD24 JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 745 Reaction score 254 Apr 21, 2013 #32 Chilisosi said: Mbona hatukupata updates za dodoma jana? Click to expand... Ulizuiwa kuzileta hizo updates?
Chilisosi said: Mbona hatukupata updates za dodoma jana? Click to expand... Ulizuiwa kuzileta hizo updates?
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,358 Apr 21, 2013 #33 Naona nyomi ya kutosha, kwa hili tuache majungu.
F fredie92 Senior Member Joined Oct 30, 2012 Posts 133 Reaction score 32 Apr 21, 2013 #34 Naangalia wasanii tu wakimaliza kutumbuiza nazima tv! Asante ccm show ya bure!
utaifakwanza JF-Expert Member Joined Feb 1, 2013 Posts 14,193 Reaction score 2,815 Apr 21, 2013 #35 Kila mahali hapa moro ni ccm watu kibao
MD24 JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 745 Reaction score 254 Apr 21, 2013 #36 bungeni said: Watu ni wengi kweli kweli Click to expand... Baada ya kuwasomba kwa malori na kuchanganya na watoto wa shule unategemea watakuwa wachache?..
bungeni said: Watu ni wengi kweli kweli Click to expand... Baada ya kuwasomba kwa malori na kuchanganya na watoto wa shule unategemea watakuwa wachache?..
F fredie92 Senior Member Joined Oct 30, 2012 Posts 133 Reaction score 32 Apr 21, 2013 #37 Naangalia wasanii tu wakimaliza kutumbuiza nazima tv! Asante ccm show ya bure!
Mzururaji JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,558 Reaction score 1,274 Apr 21, 2013 #38 Eebwanaa nimelikosa gar la abud la kizaman lilileta abiria naona andale linaingia na
M Meru Moja JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 254 Reaction score 73 Apr 21, 2013 #39 Naona mabasi ya Abood leo yameingia vijijini kusomba watu,Nasikia ROMA MKATOLIKI amealikwa.
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,942 Reaction score 9,464 Apr 21, 2013 #40 CCM Kwa sababu hawana cha Kuongea ndo Maana wanatumia wasanii wavute muda na Baadae ndo waanze kuponda CHADEMA, Make hapo Agenda ni CHADEMA na hwadhubutu kuulizia ni lini Viwanda vya Morogoro Vitafufuliwa
CCM Kwa sababu hawana cha Kuongea ndo Maana wanatumia wasanii wavute muda na Baadae ndo waanze kuponda CHADEMA, Make hapo Agenda ni CHADEMA na hwadhubutu kuulizia ni lini Viwanda vya Morogoro Vitafufuliwa