Cardinalist
Member
- Feb 14, 2013
- 43
- 8
Ama kweli kwa manispaa kama ya morogoro kuwa na watu wasiozidi mia mbili ni aibu,wamechoka,wasiendelee kung'ang'ania madaraka ya nchi yetu,tuwaepuke kama ukoma
Mkuu matatizo yako ya shule bado hayajaisha, jihadhari usijiingize kwenye siasa mpaka umalize kufuatilia course work yako. CCM hawaaminiki, wanaweza kutia sumu kwenye progress ya suala lako ionekane wewe ndiye uliyejilengesha kwa lecturer.
TBC inaonyesha 'Live' Aliye karibu na TV atupiemo mimacho hapo. Nimemsikia Nepi anasema ' msidanganyike na wanasiasa UCHWARA' akaendelea 'walikuja hapa Morogoro watu wakafa' pata picha uki-relate mlolongo mzima wa mauaji yaliyotokea na utekaji unaoendelea kutokea, wewe kama GT unapata picha gani hapo?
Muuaji, mtekaji ni huyohuyo kwa kisingizio cha kwamba fulani ndiyo anafanya mauaji sasa wanakuja kupanda majukwaani kuwaeleza wanaouwa watu ni wanasiasa wa Vyama vya UPINZANI(not only Upinzani, ni CHADEMA).
All of CCM are HOPELESS. Hamna chochote wanachowaambia wananchi zaidi ya kuiongelea CHADEMA.

Chadema wameahidi kuiingiza nchi kwny machafuko