Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,892
Tunasubiri updates mkuu. Ila picha zinaongea mata 1,000 kuliko maneno.
Nipo katika mitaa ya mji kasoro bahari kama kawaida naona jezi za ccm zimetapakaa maeneo mengi ya mji huku maroli na mabasi ya abiria yakisombawanachama toka pande zote za mkoa ili kuhudhuria mkutano wao.
Bodaboda zinaanza kuadimika mara baada ya ccm kuwakodisha kwenda katika maandamano