amilyroley
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 621
- 1,200
Watu wako field sio kushinda kukesha kwenye mitandao km vile hakuna kaz ya kufanya hiyo isiwatie kichwa mkajiona mmemaliza kazi.
Leo Lowassa yupo Pemba na mpaka sasa updates yake hapa JF ina comments 235. Magufuli jumlisha fiesta yupo singida mjini na ana comments 65,. Hali ni ngumu nyumba ya jirani watu wanasusia post zao. Lowassa anaendelea kumnyoosha Magufuli kila kona
Hapa ni kazi tuu comment peleka kule, hatutaki wasanii. Ikulu
Watu wako field sio kushinda kukesha kwenye mitandao km vile hakuna kaz ya kufanya hiyo isiwatie kichwa mkajiona mmemaliza kazi.
Unadhani kura za Oct 25 ni kama za tuzo za muziki unazokaa na kuklik tu?
Mara mia mara elfu hakuna noma.
Oct 25 mtu 1 kura 1
Mkuu JF ni kipimo tosha yani inaweza tumika kama sample kujua hali ikoje maana hapa kila mtu anawakilisha kila pande ya Tanzania. So unaeza pata picha
VIVA UKAWA!!!
Watu wako field sio kushinda kukesha kwenye mitandao km vile hakuna kaz ya kufanya hiyo isiwatie kichwa mkajiona mmemaliza kazi.