Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Uko jiji lipi wewe?
Vipi kesi yako imekwisha?
Chuga meeen
Uko jiji lipi wewe?
Vipi kesi yako imekwisha?
Chugga ndio nini wewe?
Half London
Uuwiii,I miss Half London!!!
Half London
Tengeru,sanawari,unga,njiro,mianzini,posta? Au mule ndani naurasprings?
Mule mule kijana
njoo meru hotel
Madam B nimefurahi kukuona!!
Mkata kiu ndo naingia brajec hapa, nina track suit nyeusi na tishet ya blue.. Wanachit chat mpo wap?
nipo kwenye folen hapa Ubungo. Natokea Chalinze kuchukua gongo.. Ntawakuta Brajec![]()
tupieni picha basi!