Hivi kandambili si waliambiwa wasusie Azam TV,?
Watangazaji wa Bongo na marefa wao wote wanavaa unazi tu, si uongoMtangazaji azam tv bure kabisa, sijui kama ndo wameagizwa wafanye hivyo na mwajiri wao.
Kama kiwanja kingekuwa kwenye hali nzuri, Yanga mpaka sasa wangekuwa wanaongoza kwa goli 3-0
Nani kakudanganya.....subiri uone
Canavaro alisema juzi kuwa washambuliaji wanazingua sana kule mbele wakati nyuma wanakaba vizuri sana, leo kweli kafanya mambo. Yanga endeleeni kutupatia raha, leo nitakunywa viroba mwanzo mwisho,
Hela ya Azam Yanga haichukui zipo TFF. Zitatolewa msaada kwa wenye mahitaji!
Coastal bado nina imani nanyi.. 2nd half fanyeni mambo.
Yanga yatakata nimeonyeshwa kwenye ndoto ushindi Leo lazima.
Kama kiwanja kingekuwa kwenye hali nzuri, Yanga mpaka sasa wangekuwa wanaongoza kwa goli 3-0
Kushinda costal union ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
Mbona hawaongezi goli la pili kulikoni tena.