Live Updates:Costal Union vs Yanga

Live Updates:Costal Union vs Yanga

Leo mnafurahi wakati mpira bado. Mtakimbiana hapa.

Mkuu leo uhakika lazima tutoke na point 3 tanga, tukishinda leo ujue ndio basi tena mechi zote tutakuwa tunashinda, hii ya leo ni ngumu sana kwetu
 
Bado mna kimeo Mbeya City.
 
dk 71 Coastal 0 Yanga 1, naona wenyewe bado wana presha
 
Mkuu leo uhakika lazima tutoke na point 3 tanga, tukishinda leo ujue ndio basi tena mechi zote tutakuwa tunashinda, hii ya leo ni ngumu sana kwetu

mmmh! Mkuu mechi zote mtashinda? Hapo nitatofautiana na wewe!
 
Cost wanacheza rugby badala football ni ubabe mwanzo mwisho.
 
Back
Top Bottom