Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,053
Dakika ya 20: CU 0-1 Yanga.
Wapi utabiri leo mkuu?
Dakika ya 20: CU 0-1 Yanga.
OKW BOBAN SUNZU yuko wapi huyu jamaa si aliahidi kuwa nasi kwa kila hatua??
Dakika 30: CU 0-1 Yanga.
Nani katupia??
Mtangazaji azam tv bure kabisa, sijui kama ndo wameagizwa wafanye hivyo na mwajiri wao.
Nadir Haroub. A very good header.
Mikia wamepoteana.
Hivi kandambili si waliambiwa wasusie Azam TV,?