Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Kuna watu humu ndimu zinawahusu leo, Yanga ndio habari ya Tanga na Dar. Refa maliza mchezo tufanye sherehe siye.
Walau nanyi mtapata kupumua sasa
..........................................................Kuna watu humu ndimu zinawahusu leo, Yanga ndio habari ya Tanga na Dar. Refa maliza mchezo tufanye sherehe siye.
Jumamosi kama kawa kama dawaNyie lini?
Saa nne usiku DRC VS IVORY COAST
tunasubiri hadi filimbi ya mwisho
..........................................................
Kocha wa Yanga kaenda kumpongeza Gaucho
baada ya siku mbili mtapotea tena humu maana mnakutana na Mtibwa Sugar