Live! Updates: Brazil vs Spain - Confederations Cup 2013 Final - Leo Jumapili, 30/06/2013

Live! Updates: Brazil vs Spain - Confederations Cup 2013 Final - Leo Jumapili, 30/06/2013

Ni mpira uliojaa ufundi mwingi, hakuna hasara kwa watazamaji usiku huu.
 
bossquet anataka kurusha ngumi baada ya mchezaji mwenzie neemar kumpa vitu anavofanyaga..
 
hii gemu sasa ni full kujiangusha duu itabidi refa atulie sana.. wapi howard webb
 
naona sasa hivi spain imeanza kugain momentum wanakosa inakuwa golikick

corner
bra 0 esp 2
 
Dk 23 spain wanataka kusawazisha tu ili wacheze huku brazil wakianza kupoa taratibu..
 
Back
Top Bottom