Ng'oa mataluma treni lipumzike safari kabisa.we Ntuzu wee,leta caterpillar,halifungwi goli kesho,tutakutana kwenye matuta.
Madrid wanapigwa tukubali tukatae.
Hahaaaaaaaa...bayern kumbe si lolote wala chochote....mxxxxxxx
Ngoja aje akutane Na Jose Mourinho
......kuna tetesi Backenbauer 'Der Kaiser' ambaye ni Prez wa Bayern Munich na Karl-Heinz Rummenigge hawapendezwi na mfumo wa Pep aliouleta, na kwa matamshi haya ya Pep ...sitaona ajabu kama kibarua hakitaota majani kunusuru German Football!
madrid wamepaki basi
Mzee wa mbinu za mwaka 47, za kupaki treni na kupoteza muda
Dah kweli ukitaka nyoka afe vizuri piga kichwani
Barca alitolewa kwa aibu na Bayern,jana imekuwa aibu tena kwa Bayern.
Goli 4 tena nyumbani,halafu bingwa mtetezi ni aibu
la kushangaza ni kwamba walipo wafunga barca watu wingi humu walifurahi na kusema barca hawana mpango sasa na yee leo tutasema hawana mpango au ni gem tu imewakataaDah kweli ukitaka nyoka afe vizuri piga kichwani
Barca alitolewa kwa aibu na Bayern,jana imekuwa aibu tena kwa Bayern.
Goli 4 tena nyumbani,halafu bingwa mtetezi ni aibu