Live Updates: Azam & Simba Matches

Live Updates: Azam & Simba Matches

Makoye Matale

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2011
Posts
6,490
Reaction score
2,104
Baada ya Yanga kuinyanyasa Comorozine de Domoni ya Comoro kwa magoli ya 'week' nzima; leo ni zamu ya Azam kukutana na Ferroviario ya Msumbiji katika uwanja wa Azam Complex. Wakati huo huo baada ya Simba kushikwa shati na Mtibwa Sugar, leo ipo Mkwakwani kukipiga na Mgambo Shooting. Naomba tushirikiane kupashana updates.

Azam 1-0 Ferroviario FT
Mgambo 1-0 Simba FT
Mbeya City 2-1 Mtibwa FT
Rhino 0-1 Coastal Union FT
 
one luv lad tupo pamoja sana..

Nawatakia kila la heri Azam katika mechi kwani mechi hiyo haina madhara kwa timu yangu. Naiombea Mgambo Shooting iifunge Simba au hata itoe sare ili tubaki salama pale juu.
 
Hakunaga kama Azam,SIMBA atakua nafasi ya pili na YANGA nafasi ya tatu
 
Nawatakia kila la heri Azam katika mechi kwani mechi hiyo haina madhara kwa timu yangu. Naiombea Mgambo Shooting iifunge Simba au hata itoe sare ili tubaki salama pale juu.
Kwa Simba sina wasiwasi wataiwatafuna Mgambo kama wamechemshwa vile, lakini kwa hao Azam inabidi wakaze la sivyo watachezea kichapo wamakonde sio wa kuwachukulia poa, kuna vipaji vingine kutoka Ureno huwa vinakuja kucheza kwenye makoloni yao namanisha mozambique na Angola, kwa hiyo wasije wakashangaa kina Erasto Nyoni wanakutana na mdogo wake Figo au mdogo wake Ronaldo.
 
Simple!
Ewe M/Mungu muumba wa mbingu na ardhi,nipokelee DUA yangu hii ambayo sijalazimishwa kuiomba.
Najua kuna watu humu ndani wanaitwa ndetichia Kitoabu Masuke mapovu yatawatoka,ila wewe wapotezee tu maana kwako wewe hao ni wadogo kama "NUKTA"
Ila kwa kifupi wabariki hao jamaa wa Msumbiji wamchape Azam bao za kutosha,pia wabariki wapiganaji wetu MUGAMBO wachape huyo SIMBA wa maonyesho ya sabasaba!
Ahsante Mungu.
Cc ACCOUNT FULL Makoye Matale Masuke ndetichia Katavi watu8 Kitoabu
 
Last edited by a moderator:

Simba na agongwe tu atupishe Mbeya city!
 
Na watu wote waseme: Amina.
 
Last edited by a moderator:
Simba mnyama mkali funga hao mgambo. pia azam noma funga hao wamozambik kama ile ya jana.
 
Simba endeleeni kugawa point, mechi za ugenini hamziwezi. Mgambo wafundisheni soka hao Simba.
 
Katika mchezo wa leo Azam FC inatarajiwa kuwakilishwana Mwadini Ally, Malika Ndeule, Erasto Nyoni, Aggrey Morris, Said Moradi, Kipre Bolou, Himid Mao, Salum Abubakar, Brian Omony, Kipre Tchetche na Khamis Mcha Viali

Mechi inachezwa kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi kuanzia saa 10 Jioni... Viingilio ni Tsh 7,000 VIP A, 5,000 VIP B na Mzunguko ni Tsh 2,000
 
sawa,subirini kipigo sasa.
 
sawa,subirini kipigo sasa.

Mkuu, kwa nini tuwaombee mabaya Azam? Ushindi wao utatuathiri vipi? Ingekuwa mechi ya ligi hapo sawa. Naomba tuwaunge mkono washinde. Simba wenyewe watandikwe kabisa.
 
hahahahaha!aya bana,lakini wafunge mabao basi na wasipigwe chenga za kizembezembe.
 
Back
Top Bottom