LIVE UPDATE; YANGA vs MTIBWA (friendly match)

LIVE UPDATE; YANGA vs MTIBWA (friendly match)

wanga sasa angalau mpira unakaa mbele, faulo kwa mtibwa...kona
 
...inaokolewa hapa! Kipa wa mtibwa anapata presha ya mashabiki wa yanga..
 
goooooooooooo. Javu anapiga la tatu, ni uzembe wa kipa wa mtibwa
 
Dah,safi sana.Nadhani ni ukaribisho mzuri wa Jembe letu jipya Moses Oloya.
 
huyu kipa wa mtibwa anashindwa kuhimili presha za mashabiki wa yanga, ingawa beki zake hazikutakiwa kumrudishia mpira katika eneo baya hivyo
 
haya ni matokeo tu, ila mtibwa imekuwa ni kipimo kizuri sana kwa yanga, kocha atafanyia kazi mapungufu kabla ya ligi
 
Mkuu ACCOUNT FULL kwa mujibu wa chanzo changu cha habari Jembe linatua kati ya j4-j5.
 
Last edited by a moderator:
Oscar joshua vipi,,nilimuona mechi ya mwanza,naona hafai kucheza yanga

Nimemuona leo, oscar ana tatizo la kutojiamini, akikosea kidogo alafu mashabiki jukwaa wakapiga kelele tu, basi tangia hapo ataanza kuharibu.
Pia kuwa wapi kwa wakati gani uwanjani, bado ni tatizo kwake.
 
Back
Top Bottom