LIVE UPDATE; YANGA vs MTIBWA (friendly match)

LIVE UPDATE; YANGA vs MTIBWA (friendly match)

kipindi cha pili kinaanza, yanga wanafanya sub, wanaingia luhende,rajabu zahiri,bartez
 
baada ya chuji kutoka, naona mtibwa wanamiliki mpira... Wanapata penalti mtibwa!
 
E bwana nashukuru baada ya kutupia hapa jf kuwa kiss fm wapo hewani,sasa nawapat hewani .HONGERA ZAKO MKUU
 
Vp sababu za wachezaji kuwa na saumu...pande zote mbili zitahusika? Endapo matokeo yatakuwa hasi?
 
mtibwa bado wanshambulia langoni kwa yanga, yanga kati kumepotea
 
mtibwa kaingia kipa said mohamed, alkuwa yanga msimu uliopita
 
Back
Top Bottom