LIVE UPDATE; YANGA vs MTIBWA (friendly match)

LIVE UPDATE; YANGA vs MTIBWA (friendly match)

mtibwa bado wanashambulia langon kwa yanga, wanakosa goli la wazi kabisa!!!
 
sijui tatizo swaumu, mtibwa wakiguswa tu chini. Ila bado wanashambulia wao..
 
mipira ya yanga mbele haikai, na yupo tegete swaumu haimuhusu..
 
mguyi alikuwa yupo ndani ya box anamfuata kipa, akavutwa, anapga tegete....... Gooooooooooooooooooooooooooooo
 
yanga 2, mtibwa 1, mguyi alipata pasi ndefu, ilikuwa baada ya kushambuliwa yanga, akawa anaingia nao ndani, umbo lake dogo akawa anapenya kabla ya kuvutwa.
 
Back
Top Bottom